FILAM hii maisha duni ni filamu inayoletwa kwako na ONCHANGU THE GREAT FILM ikiwa imezingatia matatizo yanayo tupata katika maisha ya kila siku hapa duniani.
Daniel Onchangu ndiye anaye milki kampuni inayoitwa Onchangu The Great Film.kwa sasa kampuni hii inapania kutoa filamu kama WHY ME,BAHARI YA LULU,.zilizo tayari ni pamoja na HASARO YAO, (2)STAREHE GHARAMA, MAISHA DUNI,KISA NI FEDHA.
Hawa hapa ni waigizaji wanao kuja kwa kasi mno
project_propasal.docx | |
File Size: | 36 kb |
File Type: | docx |
DANIEL na MATESO wa kiwa kwenye maandalizi ya fil;amu ya Maisha Duni ndani ya Assins Hollyday in.
.muigizaji SITI katika filamu za kiswahili kutoka ukunda kutana naye katika sinema/filamu inayoitwa SI KOSA LANGU.
LATIFA....muigizaji wa kike kutoka kenya ukunda ni muigizaji wa filamu za kiswahili katika kampuni ya ONCHANGU THE GREAT FILM.Sasa hivi anaigiza sinema/filamu/movie kwa jina la filamu hio ni SI KOSA LANGU
REHEMA ;Ni muigizaji wa filamu ijulikanayo kwa jina SI KOSA LANGU. ni mchezaji filamu katika kampuni ya ONCHANGU THE GREAT FILM
. Ni waigizaji wa filamu iitwayo WHY ME tukiwa katika scene maja kali sana. Kwa kampuni inayo taka kuzambaza hizi filamu piga simu kwa ONCHANGU THE GREAT FILM +254736547901 OR email [email protected].
Tazama kipande kidogo tu cha (kisa ni fedha) kwa google ama you tube.
Tazama kipande kidogo tu cha (kisa ni fedha) kwa google ama you tube.
.
rel="publisher">Google" >
Button Text